JAM INVESTMENT BIHARAMULO

Furahia huduma zetu kwa Ubora na Ufanisi wa hali ya juu pia Zinakufikia Kwa Haraka na urahisi zaidi.
"Tunakuthamini MTEJA wetu"

KUHUSU JAM INVESTMENT imageKUHUSU JAM INVESTMENT imageKUHUSU JAM INVESTMENT image
                               "JAM INVESTIMENT "  
===>>   Inahusiana na utoaji wa huduma za Biashara ya kawaida na  kwa njia ya mitandao Pamoja na Ubunifu wa Kitaalam wa hali ya juu.

                           

                             HUDUMA ZETU   ( OUR SERVICES)

  • Huduma Za Internet, (SALARY SLIPS, LOSS REPORT, PREM NECTA, NACTE, HESLB, RITA,TCU, N.K)
  • Huduma Za uchapaji nakala, Photocopy na huduma zote za Kiofisi (SECRETARIAL  & STATIONARY SERVICES )
  • HUDUMA  ZA         M-PESA,           HALOPESA,         AIRTEL MONEY        NA           TIGO PESA.
  • Marekebisho Ya Kompyuta ( Computer Software repairs)
  • Mafunzo Ya Elimu Ya Msingi na Sekondari Kwa wanafuzi wote     n.k
                        NA

KWA WATEJA WETU WA MBALI NA BIHARAMULO, MZIGO  UTATUMIWA  NA  MALIPO  YANAFANYIKA  KWA  NJIA  RAHISI   NA   SALAAMA   KUPITIA   HUDUMA   ZA       M-PESA.
(Payment is done in easily and Safe way, And make payment by:)
            M-PESA:    +255 746 756 314

NB: Piga simu au tuma email kupata taarifa yako mapema ili kuepuka wizi wa mitandaoni.
       (Contact us Before you make any payment to avoid online theft of money).



OFISI YETU IPO KONA YA KUELEKEA HOSPITALI TEULE YA WILAYA BIHARAMULO   IMETAZAMANA   NA     LANGO KUU   LA KUINGIA STENDI    YA   MABASI KWA JINA MAALUFU LA TALANTA 2 COMPLEX                     
                        "KARIBUNI              SAANA"

LAINI ZA VODACOM, AIRTEL, HALOTEL TIGO NA TTCL

# KAMILISHA USAJILI WA LAINI MITANDAO YOTE KWA MFUMO WA ALAMA ZA VIDOLE. # TUNA HUDUMA ZA KURUDISHA LAINI ILIYOPOTEA {SIM SWAP} # SETTINGS ZA INERNET N.K

Learn More

PATA VOCHA, NA HUDUMA ZINGINE

PIA TUNAKODISHA SHERA

Learn More

M PESA

Huduma za Kifedha

Learn More

ELIMU

MAFUNZO YA ZIADA {TUTION}

Learn More

KUUZA VITABU

Kwa wanafunzi wa Sekondari Na Shule za Msingi

Learn More

FREE ONLINE MONEY MAKING

Free money making.

Learn More

MALIPO YA MTEJA

Mteja wetu

Learn More
  • Biharamulo, Kagera, Tanzania
  • P.O.BOX 71

I BUILT MY SITE FOR FREE USING