ELIMU

Kituo kipo Wilayani Biharamulo jirani na shule ya msingi Umoja. Tunafundisha Kuanzia wanafunzi waawali mpaka sekondari. Pia wanafunzi wa darasani pamoja na wale wa kujitegemea (PRIVATE CANDIDATES). 

Masomo haya yanatolewa kama masomo ya ziada(TUTION) Kwa wanafunzi wa sekondari ( O-Level & A-Level)

Tunafundisha masomo ya:-

-Physics, 

-Chemistry, 

-Mathematics, 

-Biology, 

-Geography, 

-History, 

-Kiswahili, 

-Civics, 

KARIBU UPATE TAALUMA BORA  KWA UJUZI NA  UTAALAM WA HALI YA JUU..!!!

I BUILT MY SITE FOR FREE USING