Karibu saana ufurahie HUDUMA hii. Tunasajili laini za mitandao yote kwa kukamilisha kwa alama za VIDOLE (BIOMETRIC REGISTRATION)
Kuna wahudumu makini wa zoezi hilo la usajili.
Haichukui muda kukamilisha zoezi hilo la usajuli.
"KARIBU SAANA TUKUHUDUMIE"